Hivi Jack Pemba ni tapeli?

barabaraya18

Senior Member
Joined
Sep 18, 2006
Posts
106
Reaction score
8
Kwa sababu naona kaamua kuchukua hatua za AJABU kudeal na WAKUBWA serikalini, na hii inapelekea baadhi ya watu kujiuliza huyu mtu ni nani? na yuko pale Tanzania kwa faida ya nani? na je kisheria anaruhusiwa kuweka hizi detail wazi namna hii?

Kama hii kesi ikienda MAHAKAMANI nadhani its fair kwa wakili wa mtuhumiwa kuomba MISTRIAL kwani tayari keshahukumiwa kabla ya kesi kusikilizwa,vile vile huyu JACK PEMBA kwa hii spidi aliyokuja nayo inanifanya niseme kuwa serikali yetu imekuwa kama mtoto mdogo inaburuzwa LEFT & RIGHT na watu ambao kwa sababu wanapesa bas, hakuna nayezingatia kuwa tuna sheria zetu ambazo zinatakiwa kuheshimiwa,
Sasa naona kashawaweka mfukoni watu wa serikali sasa cha kujiuliza thsi this the new KAJUMULO?

Kwa mtu ambaye ni RAIA WA UINGEREZA najuliza hivi hata kibali cha kufanya kazi TANZANIA anacho? Je huko UK ni kawaida kuaanika wakabaya wako kwenye website yako kijinga jinga namna hii?
 
Tusiongelee Masuala Ya Watu Binafsi Yasiyokuwa Na Maslahi Kwa Taifa Letu Jamani

Ahsante
 
SHY

KAMA HUMJUI jack pemba ULIZA LAKINI SIYO unarukia vitu tuuu. Hoja ya msingi huulizi, whats next?

Hizi habari sijaziweka mimi bali ni huyo JACK PEMBA mwenyewe ndio kazibandika kwenye website yake
 
Kama huyu ni tapeli ashughulikiwe sasa hivi Tanzania bado hatuna dual citizenship.

SHY

Wacha watu wamwage vitu hapa wewe kama hufahamu kaa kimya.
 
namshangaa huyo SHY, Mimi sikuzote hawa watu wanarudi Bongo na MIJISIFA huwa najua they dont last long
 
JAKI PEMBA KAPOSTI HIZI E-MAIL KWENYE WESBITE YAKE:




kisha anaendelea kusema katika hiyo website yake kuwa:


MHHHHH SASA SWALI KWA BWANA JACK PEMBA: HIVI HUKO UK NDIVYO MNAVYO RESOLVE TOFAUTIZENU ZA KIBIASHARA?
 
Ndio matatizo ya "Briefcase" wawekezaji hayo, still more to come...
 
HAKUNA kesi hapa, cha muhimu kwanza hyu JACK AFANYIWE uchunguzi kwani inawezekana ikawa yeye katoka UINGEREZA kuja kufanya UTAPELI wake TANZANIA halafu analeta ujanja wa kuposti PASPORTS ZA WENZIE KWENYE INTERNET9website yake)

Hii yote inaraise suspicion na intention ya huyu bwana JACK PEMBA ambaye ni rafiki wa karibu wa VIONGIZO WETU kuanzia kanali IDI KIPINGU mbaka waziri


Yaani nchi imefikia kufanya kama ganduro na watoto kama hawa basi tena
 
NINAVYOJUA MIMI NI KUWA HUYU NI MTOTO WA UPANGA NA ALIOA MZUNGU HUKO UK NA BAADA YA KUPATA VIJISENTI SASA HUYU AMEKUWA BALAA MJINI PALE,NA HUYO MICHUZI NDIO USISIKE KILA KUKICHA ALIZAMA AMPROMOTI ambayo hakuna ubala ila tatizo linakuja pale ANAPOTAKA KUKEMEA VYOMBO VYA SHERIA TANZANIA ETI HAVIFANYI KAZI ZAKE KWA KUAMUA KUWEZA MAPICHA YA PASIPORTS ZA WATU KWENYE INTERNET.

NADHANI KAMA POLISI WAMEMWEKA NDANI HUYU MUZAMIL WAMUACHIE FREE, NA INABIDI KIBAO KIGEUZWE KWA BWANA JACK PEMBA




KUTOKANA NA MAELEZO YA JACK PEMBA, HUYU BWANA NDIYO ALIYEMTAPELI
 
Can somebody please explain the WHOLE issue. kwasababu mimi hapa sielewi nani ni nani

Please
 
CMB

Nafikiri chanzo cha habari hii ni Michuzi Blog

 
Jinsi Jack Pemba alivyoposti hizi info kwenye website yake inaonyesha kuwa kuna walakini MKUBWA mno, sasa kwa nini asiwaachie Polisi wafanye kazi yao? Na kumhusisha IDDI KIPINGU NDI MBAYA ZAIDI. uKISIKIA WAWEKEZAJI ushwara NDIO HAWA
 
nIMEFANYA UCHUNGUZI KULE MICHUZI BLOG NIKAKUMBANA NA HUYA:



http://issamichuzi.blogspot.com/2007/06/gsb.html#comments

 
Mnauliza msuli unguja? au karafuu pemba? Utapeli wa Jack Pemba uko wazi kabisa. ni asili ya ukoo wao toka kwa nduguye ELIUD PEMBA na familia nzima.

huyu jamaa kawaibia sana watu kwenye zile deal za magari ya wizi X5 BMW. labda mheshimiwa Mbowe anaweza kutusaidia kwa hili.

nilipata kigugumizi kuona watu na heshima zao wanakubali kufanya deal na huyu pemba wa kimataifa. pemba hadi kwenye mitutu yumu.
 
kWANI LILE x5 NILISKIA KUWA YEYE NDIYE ALIYETAPELIWA AU?

Zaidi ya huu utapeli wake sasa hili la kutaka kutuharibia jina NCHI YETU hatuwezi kukaa kimya

Hivi huyo mkewe mzungu anajua kama KAMTIA MIMBA hawara wake huko bongo?
 
Zaidi ya hayo nasikia anakesi ya ATTEMPT MURDER huko UK, nasikia alitaka kuuua kijana wa KIPEMBA kwa Bastola, sasa sijui ukweli kwenye hili uko wapi ila nashauri WATAWAL wawe wanafanya background cjhecks na hawa watu kabla hawajaaanza kudeal nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…