chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Sipati majibu.
Hivi kweli Sasa hivi ninapoandika hii post JF, Jaji Biswalo anaenda mahakamani, anapigiwa saluti, anasikiliza kesi za wezi, wanaotumia mamlaka vibaya, halafu anawafunga? Kweli kabisa? Mtu ambaye ametapakaa Kila aina ya tuhuma, anaenda kuwafunga watu ambao alitakiwa awe nao gerezani?
Huyu mtu aliyepeleka fedha zetu china? aliyebambikia watu kesi!? Watuhumiwa walio mbele yake how safe they are?! Wanaona haki mbele yao kweli?
Prof. Juma, hamna kitengo angalau awe desk officer hapo mahakamani? Maana this is mockery of justice!
Japokuwa si sawa, akawe hata Katibu Tawala wa Mkoa au Wilaya, vyovyote vile, lakini atoke mahakamani.