Hivi jaman ebu soma hapa...

Hivi jaman ebu soma hapa...

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi?
Kwa mfano,umeona upepo umekula mkate wako mwenyewe mara ukahisi panga pembeni ya mchanga kuna upawa wa kukwangulia lami mle kwenye buldozer halafu maji yanakufagilia ule mfagio wa mapafu kwenye maji ya kunywa ndani ya pikipiki ya njano pale bunduki inapopata motoooo ndo siafu anakua njiani sasa kwenye ngazi anapata zake juu ya mti dagaa zile ngazi za quality center mpaka nkasema sasa unashibaje ugali wa miwa bila sponji...
Ntaendelea
 
Y
Mkuu pole sn, huyu Grimsby jana nilimpita kama simuoni Kenyayyyy mikeka yangu yote. Mpuuzi sn huyu ...
 
We itakuwa kipindupindu kimeingia kichwani itabd umeze mseto utibu hayo mafua.au ukalazwe pale wodi ya vichaa MOI utibiwe kisonono ule ugonjwa wa macho
 
'Muheshimiwa Bomouwa hii story ikiendelea nishtue'
 
Habari wanajamvi?
Kwa mfano,umeona upepo umekula mkate wako mwenyewe mara ukahisi panga pembeni ya mchanga kuna upawa wa kukwangulia lami mle kwenye buldozer halafu maji yanakufagilia ule mfagio wa mapafu kwenye maji ya kunywa ndani ya pikipiki ya njano pale bunduki inapopata motoooo ndo siafu anakua njiani sasa kwenye ngazi anapata zake juu ya mti dagaa zile ngazi za quality center mpaka nkasema sasa unashibaje ugali wa miwa bila sponji...
Ntaendelea
Bangi za njombe hizi
 
Ishia hapo hapo, endelea tu kunywa mnazi ipo. Cku utataka kuingia humu uchi.
 
Kuna haja ya kupandisha bei ya viroba kwa kweli
 
Back
Top Bottom