Hivi jamani, hamuoni aibu kila kitu ubalozi wa Marekani, kikitokea kitu mnakimbilia kusema tutashtaki Marekani? Ni ushamba

Naam hakika ni USHAMBA+UTUMWA WA FIKRA+KUTOKUJITAMBUA+KUKOSA UZALENDO+UTOPOLONI.
 
Nakazia ni wakati wa mapinduzi ya kweli,tuna wasomi wengi na walete innovative ideas za kulikwamua taifa hili hoja za kipumbavu za demokrasia peleka jalalani.
Ndugu yangu, wanipa wasiwasi.
-Wasomi gani unaowasema, hao waliojaa huko ambao sifa yao kuu ni ubingwa wa kuimba mapambio na kusifu mwanzo mwisho?
-Mawazo na matukio ya kuvunja sheria/katiba na visingizio vya kuminya demokrasia na haki za msingi ya wananchi ndio huo ubunifu?
-Kulazimisha tuvione na kushangilia ujenzi wa viwanda 'vipya' 8000, ajira 'mpya' million 6 (na mengine mengi) katika miaka minne ndio hayo mapinduzi ya kweli?
Anaeogopa uwepo wa demokrasia ni yule ambae anachukia hoja tofauti/mbadala, anataka mawazo/mitazamo yake tu itukuzwe/iabudiwe.
Hoja hizo hutokea kwenye udikteta na ndio hazifai kwani huzuia maendeleo ya kweli kwa TAIFA, na ndio zatakiwa kupeleka jalalani.
AMEN
 
Marekani polisi hawezi kutenda kosa akaachwa salama, hapa anapewa cheo, unayoyasikia huko siyo maagizo ya Rais usiwadanganye wenzako.
 
Mku inawezekana sisi wengine hatujui dira nafikiri tusibishe tukae tu twangalie gari linaenda wapi na likifika tutaona linapaki.
 
Kuna ka kisiwa fulani kwa kushirikiana na.ndugu zao waliwaondoa Raia kanaitwa Chago

Angalia zimbabwe walidai ardhi yao wakawekwa kikaangoni. AFRICA ya kusini walivamia wakabeba almas wanavyotaka

Historia yao haiko sawa na.haitakuja kukaa sawa .siku kakitokea kanissue wanatoka mkuku kutoa tamko utadahani ndo wazazi wetu.

Ila nashangaa mbona kenya ikivurunda hawatoi matamko kama kwetu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo ikiwa political stability na strong national ndio nini sasa? Uende kuwapigia goti?

Ukute hapo una vyeti vya digrii ndani
 
kwamba free health services sawa kama ww unapata hiyo poa
 
Reactions: Sax
nyie mshawahi pewa kifinyo na mzazi wako mpaka ukaenda kusema kwa jirani au kwa ndugu. kama unaona hamna haja ya kusema kifinyo cha mzazi wako kwa jiran vumilia maumivu
 
Licha ya kushuka kama essay bado hueliwi unacho kiandika nini subiri ukue ndio utaelewa ya mobutu seseko iddy amini na sijui na Yule wa burundi
 
kenya ni madem wa mabeberu ndo maana pamoja na kupigana kwao waume zao hawatoi matamko
 
Tokea malim sef aende mpk kudai haki yake UN akaikosa hapo ndipo nilipoachaga ujinga wa kufikiria haki itapatikana huko kwa mabeberu
 
mkuu umetema madini mtupu hivo waafrika inabidi tujitafakari upya, haiwezekani mtu anaetutaka tuwe mashoga akawa mwema kwetu.
 
Mku inawezekana sisi wengine hatujui dira nafikiri tusibishe tukae tu twangalie gari linaenda wapi na likifika tutaona linapaki.
Tutakuja hukumiwa kwa kunyamazia tuliyoyaona
 
Tanzania siku hizi imekuwa kama Somalia, Libya, Iran nk
 
Mitumba na midabwada uliyovaa inatoka wapi??tujisahihishe by nyerere
 
Kila ulipoandika "Marekani,"badili andika "sisiemu"
 
Umeongea vzr, ila tu hapo kwenye hitimisho unapozungumzia ugaidi halafu unasema "hata waislamu wenyewe wanashangaa", una maanisha nini? Wenyewe kwa maana gani? Ondoa mawazo yako ya kijinga dhidi ya waislamu, kama unavyotaka watu kubadiri fikra zao dhidi ya Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…