....hivi jamani hamuoni.....

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,712
kissing kama ni uchafu?????naongelea kulana denda yuk! yuk!!
 
kama kissing ni uchafu????naongelea kulana denda...yuk yuk!!
 
Niko kilimani narandaaaaa
Nangojea pigo kupandaaaa

Raisi Nyerereee kasemaaaa
Vijana fungeeenii mikandaaa
Nilikulaa waliii kwaa Nguruuu
Nikaaaaa uliliaaaaa uhuruuuu

Ooooohhhhhh jamaniiiiii
Vijaaaanaaaa fungeeeeniii mikandaaaa...

Nanate..
 
Juice ile saaly hahahahahahahaha

uchafu mtupu,ulimi ndio unaharbour bacteria kny mdomo....simply tunakuwa tunapeana mauchafu tu mie kuanzia leo sifanyi tena.....:typing:
 
Niko kilimani narandaaaaa
Nangojea pigo kupandaaaa

Raisi Nyerereee kasemaaaa
Vijana fungeeenii mikandaaa
Nilikulaa waliii kwaa Nguruuu
Nikaaaaa uliliaaaaa uhuruuuu

Ooooohhhhhh jamaniiiiii
Vijaaaanaaaa fungeeeeniii mikandaaaa...

Nanate..

cheiiiiii cheiiiii shangazi chei shangazi cheeeeeeeeeeeeeiiiiiiiiiiiii
 
BAK usiniambie ile mikoba ya sheikh yahaya ni wewe uliirithi,umejuaje mie ni mtoto?

Hahahahahah lol! Maraha kama yale hadi wahusika wanafumba macho wanapokuwa wanakula denda wewe unasema ni uchafu!!!!! Mtu mzima ambaye anajua raha ya ile kitu kamwe hawezi kusema ule ni uchafu. Kama nawe ni mtu mzima basi uwe unazipima kwanza kauli zako kabla ya kuziweka hapa. Maana "uchafu huo" wa kula denda ulikuwepo kwa miaka mingi sana na utaendelea kuwepo kwa karne chungu nzima zijazo ali mradi tu Wanadamu bado wako duniani, na kamwe sidhani kama kuna mtu mzima atayekubaliana nawe kuhusu kauli yako. Jumapili njema Saaly 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…