Y Young Kibaka JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 319 Reaction score 46 Oct 19, 2012 #1 Jamani mie kwa upande wangu naonekana tapeli halafu mwongo kisa hii wizara. Matokeo ya watu hawatoi, wanasema yapo kwenye website, ukiangalia web, hakuna kitu kama hicho. Wanataka tuandamane?
Jamani mie kwa upande wangu naonekana tapeli halafu mwongo kisa hii wizara. Matokeo ya watu hawatoi, wanasema yapo kwenye website, ukiangalia web, hakuna kitu kama hicho. Wanataka tuandamane?
double click JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 569 Reaction score 949 Oct 19, 2012 #2 mkuu uko wap? Nataka 2shauriane k2 hawa wanataka kutuletea mchezo.
Bongoclever Senior Member Joined Jul 30, 2012 Posts 105 Reaction score 11 Oct 19, 2012 #3 Kweli kabsa,wanavyofanyia raia co fair. Hiyo web wanosema matokeo yapo ni ipi!? Watuambie. JAMANI JAMANI NILIKUWA NAIOMBA WATENDE HAKI KWA WENYE VGEZO. NO CORRUPTION!
Kweli kabsa,wanavyofanyia raia co fair. Hiyo web wanosema matokeo yapo ni ipi!? Watuambie. JAMANI JAMANI NILIKUWA NAIOMBA WATENDE HAKI KWA WENYE VGEZO. NO CORRUPTION!
S sky_haf JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 220 Reaction score 23 Oct 19, 2012 #4 matokeo ya nurse certificate tayar saiv wanaingza diploma