πππ Watu mna mamboR.i.p kibonde
Sio lazima iwe hivyoHumu ke wengi wakishajuana na member kadhaa wa jinsia me nje ya JF huamua kubadili Id kukwepana kiaina maana wanakosa uhuru.
Mdogo wangu hata tukimwagana tunakomaa tu kwani shngapiLoh!hata ningekuwa mie nisingekuwa na namna nyingine tofauti na kubadili ID aise!
Ukichangamsha macho zaidi, utaona mengi sana humu mkuu..teh[emoji23][emoji23]Aisee kumbe! !! Kuna rafiki yake nae nilikua simuoni juzi ndio nimejua id yake mpya. ..
Sijui kwanini watu wanabadili id
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha. .sio mbaya sometimes unachora tu watuUkichangamsha macho zaidi, utaona mengi sana humu mkuu..teh[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app