Democrasia
Member
- Feb 1, 2008
- 79
- 3
:violin:Jamani sijasikia huyu mkuu wa nchi akisema lolote kuhusu shirika letu la ndege alilolikuta na analoliacha!!!!!!:focus:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete: "Mkinichagua Nitajenga uwanja wa ndege Kigoma"
Tunajua ndege za ATC ni magofu ya kulala panya. Lakini rais anapoahidi atajenga uwanja wa ndege anakuwa na maana gani?
Kikwete ni mtoto wa Pwani. Anajua nahau na misemo vizuri sana. Na masihara anayajua vilevile.
Usishangae ukiambiwa anachomaanisha ni kujenga uwanja wa 'Ndege-Pori'