Democrasia
Member
- Feb 1, 2008
- 79
- 3
Kikwete: "Mkinichagua Nitajenga uwanja wa ndege Kigoma"
Tunajua ndege za ATC ni magofu ya kulala panya. Lakini rais anapoahidi atajenga uwanja wa ndege anakuwa na maana gani?
Kikwete ni mtoto wa Pwani. Anajua nahau na misemo vizuri sana. Na masihara anayajua vilevile.
Usishangae ukiambiwa anachomaanisha ni kujenga uwanja wa 'Ndege-Pori'