Hivi jamani kuna dawa ya kupunguza hisia za kufanya mapenzi?

msemakweli10

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
229
Reaction score
46
Waungwana wasalaam. Nimekuwa nikisumbuliwa sana na matamanio ya kufanya mapenzi.

Kila ninapokaa muda haukati namuwaza tu girlfriend wangu. Na mawazo yangu yanaelekea kulekule kumtaka kimapenzi.

Mimi nataka hisia zipungue. Je, kuna anayefahamu dawa ya kupunguza hisia za mapenzi?
 
Jishughulishe muda wote kuwa bize,fanya mazoezi mawazo yatapungua yenyewe......................
 
Utampa sugu kwenye papuchi unamsugua kila saa mwenzio! Afu unamtumiaa akichoka unaoa mwingine...

Weka kijiko kidogo cha paraffin kwenye chakula utapata tiba.

OR, jishughulishe kwa kazi,kujisomea majarida na vitabu(visivyohusisha au kuchochea ngono) na kufanya mazoezi kwa wingi ili akili yako isikimbilie huko chini kila saa
 

......yeah,
Tembelea wodi ya UKIMWI.
 

Hapo nilipobold, pamenipa maswali sana, unampenda kweli girlfriend wako? Kama unampenda, labda anza kufanya jitihada za kumuoa, ukikaa naye kama mke kwa muda hali itageuka na utakuwa na hali ya kawaida. Meanwhile fuata ushauri wa hapo juu wa dad24 na carter kwa kufanya mazoezi na kujishughulisha. Kwa kufanya hivyo unaweza kupunguza tatizo.

By the way, sijui kwanini nafikiria hivyo, ila kwa kusoma maelezo yako, nahisi kama una tamaa zaidi ya kufanya ngono kuliko upendo ulionao kwake. Hebu jiangalie tena mwenendo wako na mahusiano yako kwa kipindi hiki cha urafiki wenu. na kisha jihoji mwenyewe kama kweli una upendo na siyo tamaa!
 
Last edited by a moderator:
Dah weye jamaa na sredi zako mmh...

Angalia tu usijekufanya mambo ya aibu siku moja...
 

subiri kuitwa mwanaume boxer
 
Naomba kujua umri wako ili nikuambie kitu ndugu!
 
Kwa sisi tuliowahi kusoma shule za boarding tulikuwa tukiwekewa mafuta ya taa kwenye chakula kwa lengo la kupunguza mihemho kama hiyo. Waweza jaribu pengine yaweza kukusaidia lakini sana sana jaribu kutokaa ktk hali ya upweke(kukaa peke yako), jichanganye na wenzako na ufanye mazoezi nayo pia husaidia.
 

usiwe unaingia hili jukwaa la MMU nenda kule kwenye siasa
 
Endelea kumsugua mpaka utakapomchoka na hapo hisia zitapungua!
 
kama alivosema mkuu hapo juu nenda wodi la waathirika hakika utapona
 

kunywa supu ya pweza na karanga.
 
Dawa kubwa ni bora funga kwa wiki mara tatu au nne utakata matamanio ya wanawake
 
wewe acha kabisa kuitafuta hiyo dawa isije ikakuponza bure na mwishowe ukapoteza kabisa hiyo hamu na hapo ndipo utakapofeli.Ukijisikia hamu mwite na akija fanyeni tendo la uumbaji.
Nalog off
 
Abandike condom kwenye pichu zake zote
 
kunywa maji ya nazi ila sio dafu maana hilo halipunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…