Hivi jamani mnawaona hawa warembo washiriki wa olympic?!!!

mjenziwakale

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
954
Reaction score
1,469
Aisee kwa kweli hawa watoto ni warembo mnooo karibia kila mchezo hakuna ngongozo hata mmoja zote ni maliasili, wote wabichi kabisaa halafu tunajua kujieleza very smart yaani. Hapa ni lazima niende Paris France kwa hizi siku zilizosalia.
 
ee na ndio dhumuni la kuja na mashindano hayo kama hujui
 
Zile ndio type zangu ,napenda wanawake wanaofanya mazoezi huwa wanajua kazi kitandani

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…