Hivi jamani mnawaona hawa warembo washiriki wa olympic?!!!

Niliangalia Ile women's balance beam.wote ni warembo ambapo Huku tZ hakuna mrembo hata mmoja kama hao.Dege letu dream liner lianzishe safari ya kwenda Paris tukachukue warembo.
 
Mara nyingi husababishwa na utumiaji ARVs (Mwanaume kuwa na matiti)
 
Vp dogo unaskia wivu , kauli ya mtu mwenye wivu.
Wadada ni warembo haswa na wana shape za kutamanisha, wamejngeka vyema, wana pumzi(kwenye sex hawa ndio watamu), wananyumbulika.vyema( kwenye staili hawa ndio wazuri), hawalali chali tu kama mang'ombe kama nyie, hawana mavitambi kama nyie kitambi limetokezea hadi kwenye kinena, mavitambi ya savannah na chips yai, eti unaulizia matiti, ulitaka uone matiti yale kama.malapa ya kwenu wabongo, zile ni chuchu saa 6, na zaidi sababu wako kweny sports lazima uvae kitu cha kubananisha kifuani hio iko kote kwa wanamichezo wote wa kike, hata asingevaa , bado asingepata shida na wala msingeona malapa kama ya kwenu,ila ni sheria za michezo

KALAGABAHO..endeleeni kula mitori na savannah..
 
Na picha hakuna
Hvi huu upuuzi wa kuiganaigana kwa kucoment mkiulizia picha kwenye post ambazo zinajitanabaisha wazi kwa nn hamuachi??? after all hii ni kwa ajili ya wale wanaofuatilia Olympics games or else it's your home work to go and have a look on a TV kama si hvo better ukae kimyaa.....
 
Wewe umetuuliza kama tunawaona. Sasa tuwaone wapi na wewe hujaweka picha?
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…