Hivi jamani mnawaona hawa warembo washiriki wa olympic?!!!

Aisee kwa kweli hawa watoto ni warembo mnooo karibia kila mchezo hakuna ngongozo hata mmoja zote ni maliasili, wote wabichi kabisaa halafu tunajua kujieleza very smart yaani. Hapa ni lazima niende Paris France kwa hizi siku zilizosalia.
Ila wembamba sana hasa hawa wanariadha
 
Hawarudi hao,
wote walienda olympic kuanzia mabondia na Mbio wanakula kona hukohuko.
Miaka kadhaa tu UK walilala mbere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…