Kijana unatakiwa uelewe kwamba ngono hata kuku , bata,fisi,ng'ombe,punda n.k. kupandana wanaweza lakini inapokuja kwa binadamu ngono inaambatana na hisia(emotions).Kuanza mambo ya mapenzi katika umri mdogo si tu kwamba unaweza kuhatarisha maisha yako(HIV) lakini pia katika umri mdogo uwezo wa kuhimili vishindo vya mapenzi unakuwa mdogo na matokeo yake ni habari ambazo kila kukicha tunazisoma kwenye magazeti za kumeza vidonge vya chloroquine na kuishia mortuary.Take your time haya mambo yapo muda ukifika utapata fursa kubwa tu.Kwa sasa wewe bukua tu.