R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,318 Reaction score 4,079 Jun 9, 2025 #1 Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote. Your browser is not able to display this video.
Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote. Your browser is not able to display this video.
The redemeer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2025 Posts 4,778 Reaction score 8,232 Jun 9, 2025 #2 Wamewanyima watu haki ya kuabudu ni kinyume na katiba
R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,318 Reaction score 4,079 Jun 9, 2025 Thread starter #3 Wao ndio wanaongoza katiba na siyo kuongoza chini ya katiba, kamwe dhuluma haziwezi kuisha
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,050 Reaction score 45,202 Jun 9, 2025 #4 MWENYEZI MUNGU aipige hii serikali parapanda ilie tu bhana
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,333 Reaction score 50,241 Jun 9, 2025 #6 The redemeer said: Wamewanyima watu haki ya kuabudu ni kinyume na katiba Click to expand... Kabisa...
The redemeer said: Wamewanyima watu haki ya kuabudu ni kinyume na katiba Click to expand... Kabisa...
U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 3,337 Reaction score 5,876 Jun 9, 2025 #7 Kwani Gwajima yupo wapi kwa sasa?
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 2,661 Reaction score 5,583 Jun 9, 2025 #8 Sijui