Oh nlikua sijaelewa nlijua unamfollow mkewe wa zamani huyo Katrina naye 10K followers bado tabu tu kukupataNo namfollow MKE wa PFunk, Kajala si alikuwa Suria na mwenzie Munira. Mke wa Pfunk anaitwa Katrinaalegra. Ana matusiiii huyooooo. Balaaaa.
Wanamuziki wengi wakikosa penye sembe ponapona yao huwa mmea.Ila majani anatumia sanaaaaa.
Mkuu tuombe isiwe hivyo maana ukishaanza hiyo midude kujinasua nayo inakuwa mtihani kweli.Kuna jamaa kaning'ata sikio hapa kuwa jamaa naye siku hizi kawa teja.
sijui ni kweli, ngoja nifuatilie
nshalipia room kama vip wewe zama, yoyote atakaekuuliza wemzuge nimezima!!
Huwa unashida naye maskani zao za uswazi??Acha uwongoo km kitu hujui unaulizaa uwaambiwee j moo toka lini kavuta unga ??????j moo ungesema kuhus kuvuta bangi ningekuelewa lakn sio unga
Hata AY anakomaa na muziki wake lakini ni pusher mzuri sana wa hii midude....Jaymo awezi vuta unga. Yupo ana bizness zake music anafanya nyimbo kibao zipo kwa majani. Tatizo ni kukomaa na biashara zingine muziki sio kivile siku hizi.
Anakuzidi wewe?No namfollow MKE wa PFunk, Kajala si alikuwa Suria na mwenzie Munira. Mke wa Pfunk anaitwa Katrinaalegra. Ana matusiiii huyooooo. Balaaaa.
Hii ngoma ilibamba sana!
Kama Unataka Dem,I Was So Young Nikawa Nadhani Lile Tangazo La Channel 5 Ndo Video Yake.Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hivi huyu mtu yuko wapi, sukari ya warembo enzi hizo mziki haujabinafsishwa na Dimond na Ali Kiba. Daaaaahhh! Kitambo sanaaaa. Juma Mchopanga uko wapi, shabiki wako numero uno nimekumisi sanaaa. Flow yako ilikuwa baaaab kubwaaa.
Hawa watoto wanaweza wasielewe wewe nani kwenye fani, ila mimi mtu mzima mwenzio nakuelewa mpaka kesho. Wewe na mtu chee Juma Nature, Juma Kassim Kiroboto, na producer wetu P Funky Majaniiii. Namfollow mkewe Insta, mama la mama Kajala alibwaga manyanga.
THEM GOOD OLD DAYS
NDOJO NA DOMOKAYA NAWAKUBALI SAANA