Hivi Jay Moe Yuko Wapi?

Sidhani mkuu. Sio rahisi. Nakumbuka mstari wake.."amani kwa kaka Voda waambie wadogo wako waache poda wale mmea"
 
Sidhani mkuu. Sio rahisi. Nakumbuka mstari wake.."amani kwa kaka Voda waambie wadogo wako waache poda wale mmea"
Mkuu hio verse sio ya Jay Moe Moe Techniques... hio ni ya Langa Kileo Rest In Peace Braza.
 
Mkuu hio verse sio ya Jay Moe Moe Techniques... hio ni ya Langa Kileo Rest In Peace Braza.
Hapana man hiyo verse ni ya Jay More ambapo Langa (R.I.P) alijua kuwa mshikaji amemchana na yeye akamjibu Moe kwenye ngoma yake Bad Man.."amani kwa kaka Voda mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea".

Baadae Langa baada ya kukiri kuwa Mteja na kutoka rehab alitoa ngoma Kifo Jela au Taasisi na humo ndani alichana mstari mmoja "...amani kwa kaka Voda mwambie Moe sili poda wala mmea". Sijui huyo kaka Voda ni nani ila inaelekea ni mchizi wao kitaani.
 
Well said mkuu.... Hapo tunaenda pamoja sasa.
 
Mkuu tuombe isiwe hivyo maana ukishaanza hiyo midude kujinasua nayo inakuwa mtihani kweli.
Mchopanga hana mambo ya ajabu weed anapga vzuri tu ila sembe no alikuwa na plan ya kutoa remix ya asanteni kwa kuja alitupia insta clip akifreestlye
 
Huwa unashida naye maskani zao za uswazi??
Kama hili la J mo kuvuta unga linakustua hivi, siku ukiambiwa AY ni pusher si utakufa kabisa??
Punguza kukurupuka
Mkuu mo tech na yeye amekuwa stori 3?
 
MO TECH MO FLAVOUR ndie aliemtoa FA

enzi akiogopwa kushirikishwa maana lazima akufunike

kuna ngoma ya KIKOSI CHA MIZINGA alichana kwa hisia jinsi kwenye game watoto wanavyochekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…