Hivi Jf haiwezi kupata mwarobaini wa FDL?

Hivi Jf haiwezi kupata mwarobaini wa FDL?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Jf na wanachama wake ni mtandao mkubwa hivyo hatuwezi kufikiria namna ya kuisaidia Tanzania FDL maana imekuwa ligi ya kihuni na kwa kiasi kikubwa inachangia kuzorotesha hata vpl
Maana wachezaji wengi huwa wanatokea kule hata marefa huwa wanaanzia kule.


Ilikupunguza vurugu na upangaji was matokeo tungefanya pawe na hata online tv 10 ambazo zingefanya kazi ya kurusha hizi mechi halafu jf ikatumika kubrand ligi ili hizo tv zipate viwers na ligi iwe kwenye Hali nzuri.
Jf sio sehem ya kulalamika tu Bali kusolve yaliyo washinda
 
Back
Top Bottom