Hivi jina la white (ambalo humtaja mtu mweupe) huwa ni la kike au la kiume?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
White ni
Me au ke?
Mi naona linawapendeza wanaume
 
white ni rangi sio jina
 
Kuna majina hayana jinsia maalum. Kama vile Bahati na Ruzuku. Pia hilo la White/Zungu.
 
Nasikitika kufahamu kuwa na wewe ni mtu wa RC wa Dar
 
Kuna Teja moja manzese aliniita " we white!! ",Nilimtoa nduki vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…