Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Na ni jina la Kiafrika au Kizungu? Kwa maana nijuavyo mimi Majina yetu yote ya Kitanzania hayana herufi ,,Q na X” sasa ninyi hiyo ,,q” kwenye jina lake inatokea wapi kama ni Jina la Kiafrika?
Au ndo mambo ya kumrahisishia Muzungu kutamka?
Mambo ya ,,jambo” badala ya hujambo?
Au ndo mambo ya kumrahisishia Muzungu kutamka?
Mambo ya ,,jambo” badala ya hujambo?