Usitukumbushie machunguNa ni jina la Kiafrika au Kizungu? Kwa maana nijuavyo mimi Majina yetu yote ya Kitanzania hayana herufi ,,Q na X” sasa ninyi hiyo ,,q” kwenye jina lake inatokea wapi kama ni Jina la Kiafrika?
Au ndo mambo ya kumrahisishia Muzungu kutamka?
Mambo ya ,,jambo” badala ya hujambo?
Sijajua itamsaidia nini akijua huo ujinga anaoulizaUsitukumbushie machungu
Umekosa kitu cha kupost?Na ni jina la Kiafrika au Kizungu? Kwa maana nijuavyo mimi Majina yetu yote ya Kitanzania hayana herufi ,,Q na X” sasa ninyi hiyo ,,q” kwenye jina lake inatokea wapi kama ni Jina la Kiafrika?
Au ndo mambo ya kumrahisishia Muzungu kutamka?
Mambo ya ,,jambo” badala ya hujambo?