Hivi jina Nyalusi huwa ni wenyeji wa mkoa gani?

Hivi jina Nyalusi huwa ni wenyeji wa mkoa gani?

Mwanyalusi,siyo nyalusi;huyo ni mnyama kwa kiswahili ni paa,inawezekana kwa itikadi yao hawali huyo myama
 
Alikuambia anaitwa nyaalusi? Ngoja ukalishwe umbwa..!
 
Mwanyalusi,siyo nyalusi;huyo ni mnyama kwa kiswahili ni paa,inawezekana kwa itikadi yao hawali huyo myama
Ukoo ni Nyalusi, hiyo mwa ni kiwakilishi Cha mwanaume na Se ni kiwakilishi Cha mwanamke. Kwahiyo ukoo huu ni wenyeji wa Iringa
 
ni majina ya kibantu... hata kanda maalum yamejaa
Nyachilo
Nyasubi
Nya....

hivyo ni muhimu kumuuliza muhusika akujuze...

hata pwani kuna majina ya hivyo
Nyambonde
Nyakironde
Nya....

wapo wakina MOSHI nk.

ni kama kumkuta
Mwakinyo
Mwamnyeto

Kule Tanga, Muheza
 
Jina lingine ni MFAUME tafadhali anae jua akina MFAUME ni watu wa wapi?
 
Back
Top Bottom