Haka kamchezo hakana taifa, kanatendeka kotekote hata huko kwenu Tanzania. Tatizo ni kwamba vyombo vyenu vya habari huwa haviangazii sana taarifa za vijijini, wapo tu Dar.
Hii hapa ya Mtwara, kule kwa gesi.
Ukistajabu ya Mussa utayaona ya Firauni! Hayo ni maneno unayoweza kusema.
Katika hali ya kustajabisha na kusikitisha, kijana mmoja ajulikanae kwa jina la Ally Fakihi almaarufu kwa jina la TUNKU, mkazi wa kijiji cha Chitekete kata ya Chitekete iliyopo wilayani Newala mkoani Mtwara nhini Tanzania, amekutwa akifanya mapenzi na Mbuzi mchana kweupe. Tukio hilo la kustabisha lilitokea jana tar. 02/04/2015 mnamo saa 8 mchana katika kijiji hicho cha Chitekete.
Baada ya mahojiano ya kiundani zaidi kijana huyo alikiri kufanya tendo hilo baada ya kuona hawezi kutimiza haja zake kwa wadada kutokana na kukosa hela. Kwa vile yeye hana pesa na amevumilia sana zaidi ya siku 300 bila kufanya tendo hilo akaamua afanye tendo hilo na mnyama Mbuzi ili atimize haja zake.
Kijana huyo amefikishwa katika vyombo vya sheria kwa mahojiano zaidi na baada ya hapo sheria itachukuwa mkondo wake. HII NI LAANA !!!! KIJANA AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MBUZI WILAYANI NEWALA MKOA WA MTWARA NCHINI TANZANIA. | HOME