OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa members wanaoijua wilaya ya Kongwa ikiwemo CCM mtakubaliana na mimi mia kwa mia.
Kwa wale ambao hamjawahi kufika huku basi pateni simulizi hapa. Nimezuru wilaya ya Kongwa leo na kujionea hali halisi ya Wilaya hii.
Hali hii imenitia simanzi sana lakini baadae nikajisemea hivi namuonea huruma nani?Huyu bwana si anachaguliwa na wafaidika wenyewe?
Kiukweli jimbo ni duni sana,hapa makao makuu ya wilaya ni kama vile makao makuu ya kata iliyoanzishwa juzi.
Nimeulizia kwa wenyeji wanasema Mheshimiwa huwa anazuia kasi ya maendeleo kwa sababu wapigakura watafungua macho kukiwa na muingiliano mkubwa.
Wameongeza hata miundombinu kama vyuo huwa hayuko tayari kwa kigezo kwamba mji utavamiwa na wageni.
Najiuliza #mambo mazuri# aliyomfanyia Magufuli pale bungeni si angemlipa maendeleo?
Hakika hawa ni watu ambao ni laana hata kuwachagua kuendelea kuwa viongozi wetu