Hivi Joh Makin anaposema Producers wa USA wanamuita sana anamaanisha akina Dr Dre?

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Nimemsikilza Joh Makini katka interviews zake mara nying. Ni zaidi ya mara 3 anatamka kuwa Producers wakubwa huko USA wanampgia simu wanataka kufanya kazi na yeye baada ya kusikiliza nyimbo zake na mashairi makavu (akapela).

Niliwah kumsikia aktamka hayo radio clouds, East Africa radio akimwambia Sam Misago na juzi tena Radio Triple A ya Jijini Arusha.

Mi sijamuelewa vizuri na nafkri ni kwa sababu cjapata nafas kumuuliza. Je produces anaowasema ni akina Dr. Dre, Timberland, The Run, Polow Da Don, J Cole, Kanye West, Manie Fresh na wengne? Au anamaanisha akina nani?

Wakuu tusaidiane hapa
 
bavicha wakila cha arusha stimu zinawapeleka kujiona wao ni zaidi saana.cc.godbless lema
 
Anamaanisha USA RIVER ya kulekule arusha,kuna producer anaitwa Lowassa the don
 
ingekuwa fair ungemcheck kwenye tweeter ,hapa hana verified account..
 
Inategemea alipokuwa anaongea alikuwa kwenye hali gani,pengine alikuwa ameshapata hiki kitu cha kwao kule
 
Jo makini anakera anapoimba kila siku akitaja arusha mara mwamba wa kazkazin.hii inampunguzia mashabiki kila siku sema hajui tu.wimbo mzima antaja arusha,so cc wa ruvuma tutapata qapi hamu ya kusikiliza wbo unaosifia mkoa mwingine
 
wanamwita awapelekee sembe triangle trade as usual fresh from pakistan.
 
Hata Prezo alishawahi tamka kuwa G-Unit wanamwitaji kufanya naye biashara akamalizia kuwaita kuwa ni wababaishaji ,wanajikomba kwake (Prezo)
 
Kama hilo tu limekugusa subiri siku unakutana naye ndio ametoka kupokea mzigo (mboga) fresh kutoka A twn...double bridge.

Atakapokwambia Qatar airways wanamtafuta akeandeshe boeng lao....si ndio utazimia.
 
maproducer ni hao tu uliowataja?joh ni mmoja kati ya hip hop artist wakali sana bongo,hate it,diss it or luv it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…