Hivi Joh Makin anaposema Producers wa USA wanamuita sana anamaanisha akina Dr Dre?

Tatizo la watz ni dharau hata kwa ki2 usichokijua ukitaka kufanikiwa bongo usitangaze kabla ya kukamilisha jambo lako...hakuna kinachoshindikana chini ya jua wivu 2 umewajaa
 
We kweli CDM wanakunyima usleep. Pole sana. Hadi huku umeleta siasa? Inaonesha ukosefu wa ukomavu kichwani.

bavicha wakila cha arusha stimu zinawapeleka kujiona wao ni zaidi saana.cc.godbless lema



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jo makini anakera anapoimba kila siku akitaja arusha mara mwamba wa kazkazin.hii inampunguzia mashabiki kila siku sema hajui tu.wimbo mzima antaja arusha,so cc wa ruvuma tutapata qapi hamu ya kusikiliza wbo unaosifia mkoa mwingine

Ugeni wako katika sanaa unakusumbua, MbOna The Game kila nyimbo lazima ataje Carifonia
au Compton na bado anamashabiki mpaka Rukwa?
 
Inashangaza watu mnakurupuka na kuanza kumponda jamaa, yeye kama kasema maproducer wa kule wanamuhitaji tatizo liko wapi mpaka povu liwatoke? Marekani kuna maproducer wengi sana na wengine hata bongo hamuwajui kama kati yenu ni wanunuzi wa album za USA mtakuwa mashaidi wangu. Mfano Album ya mwisho ya Ice Cube kuna maproducer kibao ambao huwezi hata kuwajua lakini wameipika album ikaiva sasa Joh Makini kusema maproducer wa marekani wanamuita tafadhari wekeni mapovu pembeni na mtoe hoja zenye mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…