Hivi Joseph Shamba a.k.a Vengu hali yake inaendeleaje?

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Posts
3,518
Reaction score
1,089
Wadau nataka kujua hali ya huyu msanii maana ni siku nyingi amekuwa anaumwa na nilisikia Serikali ilimpeleka India kutibiwa.
 
Ni kweli, kipindi kirefu kimepita na bado kimya tu! Sijui anaendeleaje?
 
Wangekua wanataka mchango wa matibabu tungeshajua hali yake, ila wameona watufiche juu ya hali yake. Mpaka wawe na shida ndo wajue umuhimu wa mashabiki.
 
Ngoja ni muite vengu mwenyewe kwamaana yupo hapa hapa jukwaani, aje atupe majibu.
 
Last edited by a moderator:
Alafu kweli bwana sjui kwa nini wanaficha?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…