Hivi julio ni kocha wa timu ya taifa au ya kikwete?

Hivi julio ni kocha wa timu ya taifa au ya kikwete?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Nimemsikia na kumuona julio mida hii tbc anasema atamwakilisha vema kikwete nimekerwa sana na huyu kocha sijui wapembuzi wenzangu mnasemaje?
 
Mpuuz tu huyo... Anataka kujpendekeza kwa ****** il apate ulaj taifa starz kwa hyo me cmshangai sana.... Ana majungu sana huyo jamaa.
 
Julio ana kelele sana. Anasahau kuwa ni kocha wa timu ya taifa. Kikwete ni mtu kama walivyo watanzania wengine na timu sio yakwake ni ya watanzania wote.
 
Back
Top Bottom