Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,005 Reaction score 20,425 Mar 23, 2011 #1 Nimemsikia na kumuona julio mida hii tbc anasema atamwakilisha vema kikwete nimekerwa sana na huyu kocha sijui wapembuzi wenzangu mnasemaje?
Nimemsikia na kumuona julio mida hii tbc anasema atamwakilisha vema kikwete nimekerwa sana na huyu kocha sijui wapembuzi wenzangu mnasemaje?
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,097 Mar 24, 2011 #2 Mpuuz tu huyo... Anataka kujpendekeza kwa ****** il apate ulaj taifa starz kwa hyo me cmshangai sana.... Ana majungu sana huyo jamaa.
Mpuuz tu huyo... Anataka kujpendekeza kwa ****** il apate ulaj taifa starz kwa hyo me cmshangai sana.... Ana majungu sana huyo jamaa.
luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Mar 24, 2011 #3 katika makocha wa tanzania julio unamuhesabia!
M masingo sharili Member Joined Mar 18, 2011 Posts 63 Reaction score 12 Mar 26, 2011 #4 Julio ana kelele sana. Anasahau kuwa ni kocha wa timu ya taifa. Kikwete ni mtu kama walivyo watanzania wengine na timu sio yakwake ni ya watanzania wote.
Julio ana kelele sana. Anasahau kuwa ni kocha wa timu ya taifa. Kikwete ni mtu kama walivyo watanzania wengine na timu sio yakwake ni ya watanzania wote.