Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Katika hali ya kawaida , jambo lililotokea kwenye timu yetu ya Simba, si rahisi kusema kwamba limetokea kwa bahati mbaya. Sisi wengine tukiangalia uwezo na elimu kubwa waliyonayo viongozi wa Simba, akiwemo mtendaji mkuu tunaona hili jambo lilikuwa mpango maalum.
Kutokana na kufahamika kwa elimu ya Juma Mgunda hatuamini kama kuletwa kwake Simba ilikuwa bahati mbaya, bali tunaamini aliletwa kutokana labda na masuala mengine ya kimila, huenda alikuja kuwa "mtaalam" wa Timu.
#SIMBA NGUVU MOJA