Hivi juma nature bado ni mwanamuziki au anafanya issue nyingine za kimaisha?

Hivi juma nature bado ni mwanamuziki au anafanya issue nyingine za kimaisha?

IslamTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
309
Reaction score
182
Hivi juma nature bado ni mwanamuziki au anafanya issue nyingine za kimaisha?
 
Clouds wanambania kazi zake, sasa yuko kwa manyaunyau anajifua awe mganga wa kienyeji
 
@ HumphnickyM - MH. I DONT THINK SO. KWANI REDIO NI MOJA TU!?Mi nimesikia siku kaingia katika biashara ya bangi na bifu na wasanii. Ila hii ya bangi ndo inamyokea!!
 
@ Ba Mtu, nilizosikia ni tetesi, natafuta uhakika,
 
huyo mtu hata akibaniwa nyimbo ila akipanda jukwaani lazma akimbize hata kwa ngoma zake za kitambo!msanii akihisi ameridhika na kupendwa athubutu kumdiss nature ndo atajua jinsi jamaa ana mashabiki watiifu ambao daima wapo nyuma yake hata kama hajatoa ngoma mpya!
 
Jamaa yupo na ameachia ngoma yake mpya inaitwa 'jimwage' amefanya kwa p-funk na inafanya vizur tu kuanzia audio mpaka video yoo...
 
Back
Top Bottom