Wametoka sare mechi ya marudiano ni wiki ijayo kule bukoba.
Kagera Sugar ni tofauti na Mtibwa Sugar,Kuna kipindi kulikua na Sheria haiwezekan mmiliki mmoja amiliki Timu mbili zinazocheza ligi moja ikawa inatakiwa Kati ya kagera au Mtibwa moja isiwepo na hii ndo ilipelekea Timu zote za majeshi kuwa na mwakilishi mmoja ndo zikapatikana JKT Tanzania na Polisi Tanzania Sasa labda kagera wenyewe wamiliki wanataka ishuke
Mi nimegusia mmiliki mkuu,kwamba mmiliki mmoja hawezi kuwa na Timu mbili ligi mojaKagera Sugar ni tofauti na Mtibwa Sugar,
Hivi ni viwanda viwili tofauti, ingawa wamiliki wake ndo hao hao.
Nami nimemaanisha mmiliki ndio.Mi nimegusia mmiliki mkuu,kwamba mmiliki mmoja hawezi kuwa na Timu mbili ligi moja
Vipi matokeo ya MwaduiKama Kagera Sugar watacheza mpira wa aina ile kwenye mechi yao ya marudio dhidi ya hiyo Pamba, hakika wanaweza kushuka daraja hata kwa changamoto ya matuta. Wachezaji wanacheza as if wapo kwenye bonanza. Hawana motivation kabisa!
Mechi ya Mwadui na Geita Gold walau timu zote zilicheza kwa kujituma ingawa Mwadui hali ilikuwa ni tete! Ball possession 70% kwa 30%!! Mwadui hawana budi kukaza buti ili wasishuke daraja mechi ya marudiano. Wale Geita wana uchu kweli kweli wa kupanda ligi kuu.
Ili abaki ligi kuu amepangiwa kucheza na pamba ambayo ipo daraja la kwanza mechi mbili nyumbani na ugenini ata kaye ongoza kwenye hzo mechi mbili ndo anapanda tena ligi kuu vivyo hvyo kwa mwadui ambaye amepangiwa kucheza na geita gold. Jana wamecheza mechi ya kwanza pale mwanza wakatoa sare ya bila kufungana.Hadi sasa sijaelewa Kagera Sugar alishuka daraja au vipi?