Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
aaaahhhhaaaaah, werevu watakuja, ila wasitaje jina popoteYategue kwanza mabomu yako he! Maana mpaka hapo bila bila.
Usitaje jina japo upo nje ya mada tena maili 100Ndiyo mnavyodanganyana huko nchini kwamba Daudi Msambwanda atakuja kuwa rais wa nchi?
Alishaleta ujanja kwa kutaka kumuunga babaye, akajeruhiwa vibaya sana. Naamini hatorudia kosa.Dogo akiwa mwerevu mambo yatakua mepesi kwake,akijidai mjanja anapotea mazima kama mamvi.
macson
Akijishusha na kutoonesha dhamira ya kutaka kuiongoza familia, anaweza kufanikiwa. Kinyume chake ataangamizwa na wenye wivu naye wakiwepo vijana wenzie.Kijana anaweza kugeuka mama mwenye nyumba.
dodge
Usitaje jina alafu punguza hasira mkuuJanuary makamba inaweza ikatokea akawa accidentally au vice versa alafu kuto kutaja majina ni ujuha kwani Kuna mtu umemtukana hapo, Kuwa mkweli ufurahie maisha.
Life is short dude.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alishaleta ujanja kwa kutaka kumuunga babaye, akajeruhiwa vibaya sana. Naamini hatorudia kosa.
La hasha! Ila itampunguzia kuaminika.
Mbona ndilo eneo la kujigamba kwake hivi sasa? Pia kawaleta mashushu kibao wakijifanya makahaba, kumbe anatupeleleza. Sijui anatupeleleza kwa nyanya zipi!Huyo kijana kabaki huko kimkakati zaidi!
Lango no kuhakikisha nchi haijipeleki mikononi mwa Kagame kirahisi rahisi!
MaroperopeNdiyo mnavyodanganyana huko nchini kwamba Daudi Msambwanda atakuja kuwa rais wa nchi?