Hivi Kama Inatokea Hivi! Inakuwaje?

Hahahaha,hapo mtihani unakuja ukiulizwa je,...
Huyo mkeo ulilazimishwa kumuoa?
Kama hukulazimishwa na ulimpenda,basi siku zote visualize enzi unakutana nae na assume yuko hivo
saivi,.....
 
Hahahaha,hapo mtihani unakuja ukiulizwa je,...
Huyo mkeo ulilazimishwa kumuoa?
Kama hukulazimishwa na ulimpenda,basi siku zote visualize enzi unakutana nae na assume yuko hivo
saivi,.....

Clemmy mbona mada inajieleza, wazazi walinilazimisha nimuoe chaguo lao, nami kwa kuogopa radhi za wazee ikabidi niwaridhishe.
 
Tamaa hiyooooooo. Ukijzoesha kila unaemuona utamtamani. Mwanamume ni kujifanya ghali na sio kukimbilia midondo. Kuwa kama simba. Huli mpaka una njaa.
 
Tamaa hiyooooooo. Ukijzoesha kila unaemuona utamtamani. Mwanamume ni kujifanya ghali na sio kukimbilia midondo. Kuwa kama simba. Huli mpaka una njaa.
Sawa mkuu hata huyo simba akiwekwa banda moja na swala hapo sijui unategemea result ipi?
 
Huyo house girl yeye kakubaliana nawe?au kwa sababu tu unamlisha, unamlipa na ni baba mwenye nyumba na binti katoka kijijini yawezekana hajui hata namna ya kurudi kwao,ndo unaitumia hiyo nafasi?ndo maana kuna kesi za ajabu siku hizi, wanaume msijifikirie wenyewe msichana wa kazi ni mtoto unapewa umtunze kama mwanao. Me yakinikuta wala sighaili naenda shule, maana kama kampenda hata ukimrudisha yawezekana akamfuata kwa nini kujiumiza.yakitokea basi nikirudi nitajua cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…