Serendipity
JF-Expert Member
- Jan 24, 2009
- 486
- 43
The BOSS, nimesema sina data kamili, hii inamaanisha kwamba data ninazo lakini hazijakamilika( wadhungu wanaita raw data!)Sasa kama huna data.unaongea vipi?
Kwa nini usiwe na data kwanza?????
Ni lini tz ilikaribia zimbabwe?
Labda wakati wa nyerere ndo tanzania ilikaribia zimbabwe......
No research,no right to speak..........
the boss, nimesema sina data kamili, hii inamaanisha kwamba data ninazo lakini hazijakamilika( wadhungu wanaita raw data!)
mzee unameza misemo yako...Sasa kama huna data.unaongea vipi?
Kwa nini usiwe na data kwanza?????
Ni lini tz ilikaribia zimbabwe?
Labda wakati wa nyerere ndo tanzania ilikaribia zimbabwe......
No research,no right to speak..........
The BOSS, nimesema sina data kamili, hii inamaanisha kwamba data ninazo lakini hazijakamilika( wadhungu wanaita raw data!)
pumba tupu
Mwaga point basi!pumba tupu
Bandugu,
The guy is right, tujaribu kuwakilisha issue kutokana na jinsi unavyoweza kuiona kwa sasa, sijui tunaposema uchumi unakua tuna maana gani? comparing imports over exports?, inflatiotion issues? security capabilities, making more friends out? being politically stable? kujitoshereza kwa mahitaji muhimu kama foods, drugs, infrastructures and so on?
Kwa nyerere I think he managed to balance between imports and exports? and that is why we had a kind of respect we deserved. there were no inflation and our currency had value. Nafikiri what gave us problems by then was education and self awareness to many citizens. sidhani kama kufoleni kwa ajili ya mchele ni umasikini just taratibu and control measures.
Mwinyi completely destroyed our country, he lost control ya kukusanya kodi, hakufanya kitu tu me zaidi ya kuwapa madaraka wananchi kufanya watakavyo. hali hiyo ilipelekea hata mishahara ya serikari kulipwa na wahindi. kumbuka vinoti vichafu wakati wa mishahara. education lost its value, people decided to be politician and wafanyabiashara rather than working.
Mkapa did a lot in reinstating the situation. Ni kawaida kwa wanadamu hawaridhiki.
Huyu ndugu yetu anatuua kabisa sidhani kama anazijua economic indicators😕
Huyu ndiye rais wa kwanza mchumi TZ halafu unasema hajui economic indicators. Periorties tu ndiyo zina tofautiana kutoka awamu mmoja kwenda nyngine.
Periority ya sasa ni kufuja hela na kusafiri nje kujifunza wengine wanaishije. Swala la kujenga uchumi ni after 2015. hakuna haraka TZ tunakimbilia wapi.
Visingizizo vyetu kwa nini hatujaendela ni vingi tu kama vile tulisaidia ukombozi wa bara la Africa; Waingereza hawakuindeleza nchi; Waingeleza hakutupa elimu kama wenzetu; siasa za ujamaa zimefail; Mikataba ya madini ilikosewa; Tatizo la umeme ni mpango wa mungu (Hakuleta mvua) n.k.