Hivi kama PCCB (Rushwa) na Police Tanzania (Uhalifu) wakiwa 'Serious kwa kauli hii ya Manara wa Yanga SC mkata kidole na watoa Rushwa hawatowajua?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Yaani Viongozi wote wa Yanga SC tuje huku Tanga Wiki Moja kabla ya Mechi yetu na Coastal Union FC halafu tufungwe? Sisi ndiyo Watoto wa Mjini bhana na Michezo yote tunaijua, tunaiweza na tunaifanya vile vile. Yanga SC tuko Vitani" Haji Manara Msemaji na Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga SC alipokuwa akizungumza moja kwa moja kwa njia ya Simu Asubuhi hii na Mtangazaji wa EFM Abdulrazaq Majid katika Kipindi Bora cha Michezo Tanzania nzima cha Sports Headquarters.

Na GENTAMYCINE nasema kwa jinsi tu lile Goli la Kwanza la Yanga SC la Jana lililofungwa na Mayele lilivyokuwa jepesi nikiambia kuna baadhi ya Wachezaji (hasa Mabeki) wa Coastal Union FC ya Tanga walihongwa (walinunuliwa) nitakubali 100%.

Na pia kwa like Tukio la Kidole cha Mtu Kukutwa ndani ya Uwanja wa CCM Mkwakwani (mpaka Waandishi wa Habari akina Privaldinho wa Clouds FM na Tv) wakakipiga Picha kwa Kauli hii ya Haji Manara nikiulizwa ni Klabu gani nadhani ndiyo inahusika na Kuonekana na Kukatwa kwa Kidole kile jibu langu litakuwa ni jepesi na la haraka kuwa Wahusika ni Yanga SC.

Kazi Kwenu PCCB na PT. Wawajibishwe!

Cc: Hziyech22
 
endelea kuteseka, BTW unaonaje kiwango Cha Yanga lakin?
Kinatisha ndiyo maana sasa napambana nanyi kwa kila namna ndani na nje ya Uwanja ili mdhoofike kwani kwa mnavyoenda naiona 75% ya kuwa Mabingwa wa NBC Premier League kama Simba SC hatujafanya Umafia na Ukomandoo.
 
Utahangaika sana mwaka huu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ndo hivyo wanakusanya points tu
Binafsi Speed ya Yanga SC inaanza Kunitisha na hata Kuninyima Usingizi pia.

Coastal Union FC jana tumewasaidia kila eneo ( hasa Kimafia na Kiutamaduni ) ila kuna 'Mnafiki' Mmoja ( tena Kiongozi ) kavujisha Siri kwa Yanga SC na huyu hakyanani 'tutazaa' nae tu labda asikanyage Dar es Salaam.
 
Jaman ifike sehemu muwaache Yanga hata kwa siku chache tu bila masimango. Wapumzisheni kidogo then muendeleee na hayo maneno
 
Simba mna laana ya kudharau wachezaji wazawa nakutukuza wageni kama wafalme. pia mna laana ya kutelekeza wachezi majeruhi na viongozi wenu wa zamani wanapopata matatizo sasa karma inawarudia kivingine. hamna kitu mtafanikiwa mwaka huu makolo
 
Popoma huo muda unaotumia kutunga propaganda bora ungekua unaikosoa serikali ya ccm kuhusu ukarabati wa viwanja ili tupate ligi yenye ushindani kama south.
 
Na mtaendelea kubwata ivyo ivyo na hadithi za abunwasi mtakuja kushtuka ndoo ishasepa maana ukishikiwa akili auwezi kuwa timamu kisaikolojia, mpira unachezwa hadharani na ubora wa yanga wala auhitaji kutumia nguvu kuelezea labda kwa wale wasiojitambua na wenye wivu ambao wao ni kama ubishi ni jadi yao
 
Utopolo ndo kazi zao kuhonga.. wakienda kimataifa ambako hakuna mambo yao ya kijinga, wanatolewa round ya kwanza tu
Makolo ndo wahasisi wa kuhonga kwaiyo tuliza mshono maana ayo ni maneno ya mkosaji asiejielewa
 
Jibu La Uzi Huu Lipo Kwenye Uzi Wako Mkuu.

 
Nimemsikia Manara mida flani anaropoka nikasema huyu mfa maji muache atape tape tu, siku hizi kawa mpolee..
 
Dah!We jamaa kiboko.
 
Sasa iyo nukuu ndo pccb wahangaike ivyo...kama hujui,hujui tu
 
Unatatizo la kupoteza kumbukumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…