Hivi kama PCCB (Rushwa) na Police Tanzania (Uhalifu) wakiwa 'Serious kwa kauli hii ya Manara wa Yanga SC mkata kidole na watoa Rushwa hawatowajua?

Ushachomekwa huko na Mbeya City.Red card ya mchongo,ongeza pesa upewe penalty ya mchongo.Shiiit
 
Ushachomekwa huko na Mbeya City.Red card ya mchongo,ongeza pesa upewe penalty ya mchongo.Shiiit

Sisi Yanga Tumekaa Wiki Nzima Pale Tanga Unafikiri Mchezo...
Haiwezekani Tukae Wiki Nzima halafu Tukose Ushindi
@ByHaji Manara”[emoji3516][emoji12][emoji851][emoji41]
 
Acha hizo alinacha, hii ndo Yanga YANGA Yangaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…