Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mmoja wa wataalamu wa Hisabati kwa ngazi za juu.Hesabu ndo inafunza kufikiri sawasawa. Wale wote wanaofaulu hesabu vizuri lazima akili iwe smart sana. Sasa kuna wale waliosoma history, kiswahili etc eti nao wanajiita critical thinkers wakati waliowengi walipeperusha bendera ya hesabu
Sizungumzii kutusua. Nazungumzia critical thinking au rational thinking. Unaweza kutusua kwa kuloga au kuua watuNna washikaji kibao tu nawajua walikuwa vichwa vya hesabu saiv wkao mtaani ni mafala tu.
Hakuna uhusiano wa elimu na Critical thinking.
Hao kina nape, makamba etc mbona wanatusua sana tu kimaisha na hawajui hesabu?
Hao kina diamond mbona wanatusua tu na form four zao?
Vii kina baba level na mwijaku wamesoma hesabu ipi?
Sizungumzii kutusua. Nazungumzia critical thinking au rational thinking. Unaweza kutusua kwa kuloga au kuua watu
Siyo kweli. Kuna wezi pia ndo mana wanakufa mapema. Ukiona umekufa mapema maama yake hukuwa na akiki ulikuwa unalazimisha kuwa nazo tuUkiona MTU amefanikiwa kukuzidi ujue amekuzidi Akili pamoja na maarifa
Hao wa hivyo ndugu yangu huwa wanawahi kufa mapema mana hawana base ya pesa ila ngekewa tuKuna ndugu yangu kasoma HKL kamaliza chuo 2018 sheria Ila muda huu pesa zinatiririka Kama maji bombani
Juzi hapa familia yake Mama yake ndugu zake kaitoa Bukoba hadi Zanzibar ulikuwa mchezo wa kula na kunywa .
Pia mwingine ndugu yangu kapiga PCM na Ana 'A' ya hesabu form four Ila hesabu za maisha zinagoma .
Critical thinking -haina uhusiano na hesabu
Siyo kweli. Kuna wezi pia ndo mana wanakufa mapema. Ukiona umekufa mapema maama yake hukuwa na akiki ulikuwa unalazimisha kuwa nazo tu
Hao wa hivyo ndugu yangu huwa wanawahi kufa mapema mana hawana base ya pesa ila ngekewa tu
Nilitaka nikuulize umri wako na upo darasa la ngapi,nikaona ni vema nitulie tu.Sijakuuliza na wala usijibu kitu.Hesabu ndo inafunza kufikiri sawasawa. Wale wote wanaofaulu hesabu vizuri lazima akili iwe smart sana. Sasa kuna wale waliosoma history, kiswahili etc eti nao wanajiita critical thinkers wakati waliowengi walipeperusha bendera ya hesabu
Umeshuhudia wangapi wakifa?Hao wa hivyo ndugu yangu huwa wanawahi kufa mapema mana hawana base ya pesa ila ngekewa tu
Anaombea watu vifo😁😁😁Umeshuhudia wangapi wakifa?
Kuna mdogo wangu ni mjinga, yaani ukimzingua anakuzingua. Ila kwenye hesabu alikuwa anafaulu kuliko masomo yote. Hata kuandika vizuri hadi leo hajui. Anaandika apana badala ya hapana, xaxa badala ya sasaHesabu ndo inafunza kufikiri sawasawa. Wale wote wanaofaulu hesabu vizuri lazima akili iwe smart sana. Sasa kuna wale waliosoma history, kiswahili etc eti nao wanajiita critical thinkers wakati waliowengi walipeperusha bendera ya hesabu