Hivi kama wewe utafanyaje?

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,326
Upo njiani unapita huna hili wala lile, unakuja kujistukia kuna kakupiga bonge la kofi la usoni, ile unakaa sawa hili ukimbie, anakupiga bonge la mtama kimo cha mbuzi, baadae yule yule jamaa aliekufanyia hivyo anakuja kukuomba msamaha, *eti samahani nilikuwa nimekufananisha na mtu ninaemdai pesa zangu siku nyingi umefanana nae *kama ww utamfanyaje mtu kama huyo..!!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
hatr
 
Attachments

  • deee3d96c47cfef4aed6fc791e72e92e_good-work-clipart-good-work-clip-art_400-336.png
    25.3 KB · Views: 29
Ntamuuliza alikuwa anamdai jamaa shingapi akiniambia nachomoa hela namlipa mchezo umeisha uwa sitakagi ujinga
 
Ntamuuliza alikuwa anamdai jamaa shingapi akiniambia nachomoa hela namlipa mchezo umeisha uwa sitakagi ujinga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kukupiga akupige na hela umpe Heeee!!!
 
Ningemuuliza alikuwa anamdai jamaa shingapi baada ya kuniambia ningechukua hela na kumlipa huwa sipendagi ujinga
 
Namuachia aende zake naendelea na safari yangu

[HASHTAG]#SipendagiUgomviMimi[/HASHTAG]
 
Mmmmm namlipizia kwanza huo muda wa kuomba samahani ataupata na mzibua akishamaliza ndiyo aombe sasa hiyo samahani
 
hahahah namuangalia kwanza je ni saizi yangu auu maana u aweza kuta ni mtemi zaidi yako ukachezea tena kipigo
 
Mimi hata kama nimemkosea mtu hawezi kunipiga nikakaa kimya bila ku-respond...
Sasa kwa mtu aliekosea akanipiga bila kosa pata picha what will happen..
Hata awe na mwili mkubwa kama nyumba hio siku itakuwa ni vita ya tatu ya dunia[emoji75]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] khaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…