GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilitegemea atahukumiwa ama Kifungo cha Miaka 15 au hata Maisha na Faini ya Shilingi Milioni Kumi ( 10 ) ili iwe Fundisho kwa Wapuuzi Wenzake wengine cha Kushangaza kafungiwa Mwaka Mmoja tu na Faini isiyouma.
Huenda ndiyo maana GENTAMYCINE sijawa na kamwe sitokuja kuwa Hakimu ila kwa ninavyojijua na nisivyopenda Upuuzi hasa Uonevu, Dhuluma na Uwongo ningekuwa Hakimu huenda 85% ya ambao wangekuwa Gerezani wangetokana na Maamuzi yangu ya Hukumu.
Tafadhali naomba nitajiwe Majina ya wana Kamati iliyompa huyu Mpuuzi wa Mashujaa FC Adhabu hii nyepesi na ya Huruma mno ili niwashtakie kwa Mwenyezi Mungu.
Hivi ile 'Ngumi Vizia' ya huyu Mpuuzi Kocha wa Makipa wa Mashujaa FC ingemuua Yule Kocha Mkuu wa Mbeya City FC Mubiru kutokana na Mshtuko bado tu nyie Wapuuzi wa hii Kamati iliyomuhukumu Kiduchu hivi mngemfungia huu mwaka Mmoja?
Mmenikera mno.