Hivi kampeni ya CHADEMA kututoa line za Vodacom iliishiaga wapi?

Hivi kampeni ya CHADEMA kututoa line za Vodacom iliishiaga wapi?

fasiliteta

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
2,372
Reaction score
4,090
Jamaa wanaongozwaga na emotional mbaya sana. Kina Lema na viongozi wake walianzishaga hii kampeni, cha ajabu haijulikani iliishiaga wapi.

CHADEMA kuna umber la viongozi sanaaaa,ni kama kichaka chaajizi, manyang'anyi,watu wa visasi, CHUKI, hilba na kukata Tamaaa Sanaa.
CHADEMA wanahitaji maombi,mapepo machafu yamewatawala mpaka leo na naona yamegoma kutoka.

Wana CHUKI ilokomaa huku wakisemwa wanakana kia si chama ni madini binafsi,lakini Safi nzima ya viongozi wanaendeshaga kampeni za ukabila, CHUKI, kuchochea uvunjwaji wa haki za binadamu (Rejea misemo wao wa kusagia kunguni, Mama kama itakupendeza, unaupiga mwingi) kasoro wachache ndo wanajificha fichwa, wanahubiri ama I huku wameficha mabomu miongoni mwao.

Sasa hivi wanazusha zusha tu na kugeuza page zao kua za udaku.
 
Walisema tutupe line za voda ajabu za kwao wamezificha kwenye simu zao
 
Labda bado inaendelea kimya kimya kwenye vikao vya ndani 🤣🤣🤣
 
Aise sikuchukulia ni kampeni ya Chadema ila kwangu voda ipo kwenye simu ya akiba sababu ya vifurushi vyao ghaaaaali nimehamia zangu Zantel na sijajutia vifurushi bei chee ngoma inakamata mpaka heru-ushingo mpakaaa kalelemaaa hukooo internet inakamata saaafi kabisa bila tatizo.
 
Back
Top Bottom