kampuni zinaangalia traffics za blog ni watu wangapi wana visit katika blogs
Wao wanafanya marketing mfano u-turn ni moja kati ya top ten blogs zinazovisitiwa kwa wingi so ndio maana vodacom wako hapo
U.s.a watu wanafanya sana hii unakuta mtandao wa ajabu tu unaongelea maisha ya mastaaa flani kaliwa na flani ila makampuni yanayo toa hela yao ni ndefu sana
Google nao na seo marketing yao hawachagui ni pesa yako na ndio maana hata utakuta mitandao ya NGONO inapatikana kiurahisi katia SEO