Hivi Kampuni ya Tigo hailijui hili au inafanya makusudi?

Hivi Kampuni ya Tigo hailijui hili au inafanya makusudi?

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
15,441
Reaction score
5,816
Ndugu wanajamvi, hii ni mara ya pili kunitokea.

Juzi nimeingiza vocha ya line ya Tigo ya Tsh 1000, nikajiunga na huduma ya EXTREME kwa kutuma ujumbe wenye neno EXTREME kwenda namba 15509. Huduma hii unakupa dakika 10 kwenda tigo-tigo na dakika 5 kwenda mitandao yote pamoja na msg 350 tu. Mteja huchajiwa Tsh 500 tu na hutumika kwa saa 24 tu.

Ambacho kimenitatiza ni kuwa kuanzia juzi ukiomba mara moja na kama siku yako inasalio zaidi ya Tsh. 1000, basi watakupatia EXTREME meseji mbili zaidi ya ulizoomba. Hii ikiwa na maana kwamba kama ikitokea kwenye simu una salio la Tsh 2000 halafu ukaomba huduma ya EXTREME mara moja tu, basi wao hukulazimisha uchukue XTREME mara NNE mpaka hela yako kwenye simu iishe.

Sasa nauliza je hili jambo ni kwangu tu au ni kwa wengine pia, na kama ni kwa wote Kampuni ya TIGO hawalijui hili?





 
Tcra hawafanyi Review;jamaa wezi sana hawa mara umeunga Mini kabaang(internet inakata;dakika znaisha ovyo ovyo ata sio 25)kibaya zaid ukiwa na salio wanakta tu wanavyojiskia;Kenge kabisa
 
Back
Top Bottom