Mkuu samatta ni mpigaji vichwa mzuri tu.. Nmeshuhudia magoli yake mengi tu ya kichwa akiwa mazembeAisee hizo takwimu mbona kama zinadunisha sana Giroud? Hapo kwenye kupiga vichwa kama kapata 5.0 maana yake ndio basi tena. Awali nilijua hiyo ndiyo silaha yake muhimu.
Mkuu samatta ni mpigaji vichwa mzuri tu.. Nmeshuhudia magoli yake mengi tu ya kichwa akiwa mazembe
Kwanini?SAMATTA ACHUKUE TU URAIA ULAYA
Nilikuwa namaanisha Giroud wamemshusha sana. Uzuri wake uko ktk kupiga vichwa zaidi, angalau alitakiwa apate 6.5 kwenye hiyo category.
Of course Samatta, anafunga kwa staili zote, kichwa, miguu yote miwili, mawe, ku-press, anaweza kuutoka msitu wa mabeki, n.k . Dogo ana kipaji kikubwa cha ufungaji.