Hivi KARMA ina maana gani?

Hivi KARMA ina maana gani?

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,415
Wandugu!

Nimekuwa nikisikia sana kuhusu hii kitu inayoitwa karma ikihusishwa na kutenda mabaya tu. Namnukuhu mtu mmoja akisema "I'm letting karma do his dirty job!"

Karma ikoje? Nini maana yake? Na je inafanya kazi mbaya tu?
 
maana ya neno KARMA ni sawa na msemo wa kiswahili "UTAVUNA ULICHOPANDA" kiwe jema au baya....
na asili yake ni Hinduism na Buddhism na sio Kiislamu.
"WHAT GOES AROUND COMES BACK AROUND😛layball:"
 
Karma ni matokeo ya matendo ya mtu aliyokuwa anayafanya...yanaweza kuwa mazuri au mabaya...kama vile malipo ya uliyokuwa unafanya...kama ulifanya mambo mabaya, utalipwa ubaya na kinyume chake.
 
Thats it.
1394075154046.jpg
 
Afadhali umelielewesha hili Pu.mbavu!

ktk jamii ficha upumbavu wako mpaka unapoingia malangoni mwako hata kama mtu kakukosea usijibu kwa kutukana nahii ndiyo dini(njia)iliyo bora. kumbuka kilaneno utalitolea hesabu
 
ktk jamii ficha upumbavu wako mpaka unapoingia malangoni mwako hata kama mtu kakukosea usijibu kwa kutukana nahii ndiyo dini(njia)iliyo bora. kumbuka kilaneno utalitolea hesabu

Wale waleee!
Kwa iyo wewe umeona nilichoandika mimi ndico kibaya! Si ndio?
 
What goes around comes around,
Refer to Wimbo Wa Alicia Keys,Utaelewa zaidi.
 
maana ya neno KARMA ni sawa na msemo wa kiswahili "UTAVUNA ULICHOPANDA" kiwe jema au baya....
na asili yake ni Hinduism na Buddhism na sio Kiislamu.
"WHAT GOES AROUND COMES BACK AROUND😛layball:"

asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom