Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania 🐒