Hivi wewe unataka kulinganisha Chadema na ACT wazalendo?Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? π
Mungu Ibariki Tanzania π
si ndiyo siasa gentleman?πHivi wewe unataka kulinganisha Chadema na ACT wazalendo?
Chadema ndiyo tegemeo pekee Kwa wanyonge wa nchi hii, wanaokandamizwa na CCM
Tofauti yao ni kubwa sana, kama vile umbali wa kutoka hapa Duniani Hadi Kwenye sayari ya Mars!π
Mwanzo ilikuwa NCCR mageuzi ya Mrema, baadae ikawa CUF ya Lipumba, halafu imekuwa chadema ya Mbowe, amini usiamini baada ya uchaguzi wa mwakani ACT WAZALENDO ndio kitakuwa Chama kikuu Cha upinzani TZ.Hivi wewe unataka kulinganisha Chadema na ACT wazalendo?
Chadema ndiyo tegemeo pekee Kwa wanyonge wa nchi hii, wanaokandamizwa na huu mfumo wa CCM
Tofauti yao ni kubwa sana, kama vile umbali wa kutoka hapa Duniani Hadi Kwenye sayari ya Mars!π
Naona sasa hivi unalazimisha kujipatia umaarufu hapa jf kwa kuanzisha mada za cdm, maana unajua hizo zitachangiwa sanaπTunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? π
Mungu Ibariki Tanzania π
Niko Singida, ACT hapa ni kama maji, usipoyanywa, utayaogaACT inatamba Kigoma na Zanzibar; kwingineko ni CDM.
ila kiukweli Chadema ni wabishi mno, kiburi mingi sana, na kujipa umuhimu wasio kua nao, nadhani hiyo dhana imewakimbiza wengi sana kujiunga na vyama vingine vya siasa πTatizo chadema kimevamiwa na wahuni, wanatukana hovyo, ACT kina utulivu, hata wakipewa urais, nchi itaendelea kuwa tulivu
Tlaahaaa,
kwahivyo Chadema iko at last moments of no more?π
kwahivyo umelazimishwa kujitokeza kuchangia mada humu jukwaani right?πNaona sasa hivi unalazimisha kujipatia umaarufu hapa jf kwa kuanzisha mada za cdm, maana unajua hizo zitachangiwa sanaπ
ACT = CCMTunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?