Hivi kati ya Fireboy na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika?

Hivi kati ya Fireboy na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika?

xavihernandezalcantara

Senior Member
Joined
Nov 17, 2020
Posts
124
Reaction score
132
Wakuu kwema? Poleni na majukumu.

Hivi kati ya Fireboy Na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika na Nigeria kwa ujumla.

Nani anaflow nzuri zaidi,Lyrics kali,hits n.k.

Fireboy vs Joe Boy

images.jpeg
 
OMG! Huyu mtu wa kuitwa fireboy ni wa sayari nyingine kwakwel kuanzia melody, lyrics mpaka jinsi anavoflow huwezi kumfananisha na upcoming wengine hapa Africa japo joeboy pia cyo mbaya kivile ila kwenye swala la nani zaidi nampa fireboy ni motoooo🔥🔥🔥
 
Wote ni wazuri kwa nafasi zao ndo maana wote ni famous. Katika maisha yangu nafuatilia sana Philosophy ya Bruce Lee. Bruce Lee anasema it doesnt matter how many awards/belt you have collect. Swali la muhimu kwake ni can you really fight. Ndo maana Bruce Lee alikuwa anawaalika washindi wa karate kupigana nae.
 
Joe Boy
Fire Boy
Olakira
Laycon
1:SEMAH
Napenda sana kusikiliza nyimbo zake huyo dogo
 
1:Fireboy ana melody na lyrics kali sana,
2:Joeboy
3:Rema
4:Omah lay
 
FireBOY,JoeBOY,BurnaBOY,KondeBOY,ConBOI ..
 
Mungu utuuzima tayari simjui hata mmoja
 
Fireboy yupo moto sana, Sema sijui kwann Joeboy anavuma kwa kasi kumshinda fireboy
.
Kwangu mimi binafsi album ya Fireboy ndo album ambayo ndani ngoma zote ni HITS, This guy is lit
 
Msimfananishe fire boy na vitu vya kijinga!!!!
 
Back
Top Bottom