Hivi kati ya huyu Wizkid anaejiita Star Boy na Davido nani mkali?

xavihernandezalcantara

Senior Member
Joined
Nov 17, 2020
Posts
124
Reaction score
132
Hivi kati ya huyu Wizkid anaejiita Star Boy na Davido nani mkali kwenye nyanja zote za Muziki kuanzia Afrika na nje ya Afrika, Nani zaidi Wizzy au Davido

 
Hakuna mkali hapo; najua chui au simba wa Serengeti ndio wakali
 
Hao levo moja na washashiba hela wanaimba kwa kubeep.
Kuna Tekno huku ye ni ni mikito baada ya mikito.hategi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…