Hivi kati ya Jose Chamelione na Diamond Platnumz nani ana pesa?

Basi sawa Bwana majivuno.
Mimi nimesoma huko kipindi hata upepo wa shule za ovyo haujaanza.
Lakini any way una elements za majivuno.

Aliyezaliwa ' uswahilini ', kukulia ' uswahilini ', kuelimika ' uswahilini ' na kuendelea kuishi na kushinda ' uswahilini ' ni lazima awe na ' mawazo ' kama haya. Hata hivyo nimefurahi leo kukujua kuwa kumbe na Wewe ni ' Mswahili ' uliyetukuka. Na ' nitawanyoosha ' tu hadi mjue ' kufikiri ' vizuri.
 
Muuzaji alimtajia bei kubwa beyond his budget.
Na siyo kila nyumba mtu anaweza kununua kisa iko sinza sometimes labda ile ndiyo aliyoona inakithi mahitaji ya alichotaka kufanya.
Any way sijui anaingiza kiasi gani but atleast ana team ya watu wengi waliomzunguka wanaotegemea kula kupitia yeye na hao waoliomzunguka wanapata vipato vya kukidhi mahitaji yao kuliko watu wengi wenye B.A zao wanaosaka ajira humu kila siku.
Ukiweza kuajiri watu zaidi ya kumi na ukaweza kuwalipa vizuri, wewe siyo mtu wa mchezo mchezo..
 
Umepoteza mda mwingi kuandika pumba
 
Lol, basi tu watu tuko nyuma ya keyboard mbwembwe nyingi.
Hivi unaweza jisifu kumnyoosha mtu jf ambaye hata humfahamu.
Basi sawa nimekupa taji la ushindi.
Maana never compete with a fool because he/she will downgrade you to his/her own level and beat you because he/she is an expert in that level.
I'm done with you.
 

Kuna Watu niliposema kuwa Diamond Platnumz si chochote ' Kiutajiri ' kwa Mganda Jose Chameleone na hadi tukajitolea kuwapa ' facts ' chache za kuwasaidia ' wakabisha ' na kusema kuwa nina ' majivuno ' lakini nashukuru Mungu Mkuu Wewe umeenda mbali zaidi na kuja na taarifa ya Jarida linaloheshimika duniani la Forbes na kuweka hiyo orodha hapo ya Wanamuziki / Wasanii wenye ' mtonyo ' Afrika na nimejaribu kutuliza macho yangu nimwangalie Diamond kama yupo sijamwona ila Jose Chameleone namwona hapo # 10. Haya mliokuwa ' mkibisha ' hebu bishieni basi na ushahidi huu ' kuntu ' kabisa wa Forbes.
 
Alitimuliwa kwenye hiyo nyumba si kwasababu alishindwa kulipia kodi na tena alitaka kuinunua kabisa mwenye nayo akakataa.
walimtimua kwasababu ya makelele waliyokuwa wanasababisha yoo yoo nyingi
Usibidhane na uyo jamaa utachoka bure

Mwambie domo kanunua tuzo na views YouTube ndo atakubali lkn iz zingne unapoteza mda tu anayajua maisha ya domo kuliko afya yake
 
Halafu hiyo list ya zamani katafuteni list mpya chameleone hata hayumo kuna akina davido, kuna nani yule ceo wa marvis records kuna mr flavour, kuna wizkid wengine wametoka...
 
Usibidhane na uyo jamaa utachoka bure

Mwambie domo kanunua tuzo na views YouTube ndo atakubali lkn iz zingne unapoteza mda tu anayajua maisha ya domo kuliko afya yake
Jamaa ana hasira na domo kama vile alimdhulumu...
 

Na Wewe unaweza kumwambia Mtu kuwa ana ' majivuno ' wakati hata hamjuani humu JF? Mkuu mbona sasa naona kama vile ndiyo umethibitisha kabisa ' ujinga ' wako? Kuhusu ' taji ' la ' ushindi ' nadhani nilishakuwa nalo tokea nipo ' tumboni ' nasubiri kuzaliwa na mpaka sasa Mimi ni ' mshindi ' na bahati nzuri sana huwa sina rekodi ya kushindwa na napenda mno kushinda katika lolote au chochote kile. Hapo katika ' Kiingereza ' kidogo umeniacha Mkuu kwani Mimi sijasoma kama Wewe hivyo nitakushukuru tu kama utanitafsiria ili nami nielewe ulichokiandika.
 
Halafu hiyo list ya zamani katafuteni list mpya chameleone hata hayumo kuna akina davido, kuna nani yule ceo wa marvis records kuna mr flavour, kuna wizkid wengine wametoka...
Iyo record ya 2010 uko tunataka list ya sasa iv
 
Nimechoka kumpigia mbuzi gitaa.
Lets call it a day.
 
Mkuu mbona kawaida tu kwani haiwezekani mtoto kumzidi baba yake pesa hata kama baba yake alizishika kabla.
 
Usibidhane na uyo jamaa utachoka bure

Mwambie domo kanunua tuzo na views YouTube ndo atakubali lkn iz zingne unapoteza mda tu anayajua maisha ya domo kuliko afya yake

Naona umeamua kuja ' kumsaidia ' Basha wako baada ya kuona anaibika na kusumbuka huku. Safi sana Mkuu!
 
Naona umeamua kuja ' kumsaidia ' Basha wako baada ya kuona anaibika na kusumbuka huku. Safi sana Mkuu!
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.
Unawaza mabasha tu. Una reflect mazingira unayoishi...
Pole sana mkuu ipo siku yatakwisha ila usiwe na hasira na watu sasa..
 
Nimechoka kumpigia mbuzi gitaa.
Lets call it a day.

Kwangu lazima utashindwa tu Mkuu kwani walikuwepo wenzako ' Nguli ' lakini niliwatuliza hivi hivi kama Wewe na nashangaa Wewe sijui umekurupukia wapi huko ulikotoka unataka ' battle ' na Mimi na sasa inakishinda hadi huyo Mkeo hapo juu kaamua kuja kumsaidia ' Basha ' wake. Nimalizie tu kwa kukuomba siku nyingine ukitaka ' kushindana ' na Mimi kwanza hakikisha IQ yake ipo sawa sawa vinginevyo ' knock out ' yangu itakuhusu.
 
Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Ukishajua kwamba fulani ana pesa kumshinda mwenzake wewe itakusaidia nini? Hii topiki ya kipuuzi kabisa. Usishushe heshma ya JF. Iwe mwanzo na mwisho kuanzisha topiki kama hii. Nadhani umenielewa.
 
Kumbe mwenzangu una battle hapa, aisee sikujua kwa hiyo umejiandaa kabisa uko una battle?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…